chama cha mapinduzi

  1. Gemini AI

    Kwanini Kinana Alirudi CCM na Kisha Kujiuzulu Nafasi ya Mwenyekiti Msaidizi wa Chama?

    Kwanini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu? Na Luqman Maloto Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho-Bara. Uamuzi kama huo ulikuwa Mei 28, 2018, Kinana...
  2. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Kitendo cha CCM kupita mashuleni wanafunzi wajiandikishe ni mbinu mpya? Je, CHADEMA au ACT-Wazalendo wataruhusiwa nao kwenda?

    Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura. Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
  3. Vichekesho

    Nimeamini CCM itaendelea kutawala hii nchi mpaka itakapoamua kupumzika

    Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni 1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo. 2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi Kwanini? Watu wamesahau kuwa uteuzi na utenguzi ni maigizo ya CCM miongo na miongo, Nape huyu na January...
  4. Mhafidhina07

    Pre GE2025 Uandaliwe mpango mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA somesheni vijana!

    Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani. Mipango mkakati ya...
  5. Shooter Again

    CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

    Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa. Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao...
  6. B

    Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

    Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao. Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati. Baadhi ya Watu wanasema...
  7. S

    Vijana tuamke, hawa CCM hawana huruma watachukua kila kitu

    Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho. Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha...
  8. K

    Wapinzani wanaporejea Chama cha Mapinduzi (CCM)

    WAPINZANI MNAPORUDI CCM NI LAZIMA MFAHAMU CCM INAONGOZWA KWA SHERIA, KANUNI MIONGOZO NA TARATIBU ZINGINE. Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 07 ibara 12(1) kisha tukasome uk 151 kifungu cha 01 na cha 08 Niliwahi kusoma Gazeti la TAZAMA la Tarehe 7 -13/01/2020 uk 05 liliandika, Wakati huo...
  9. peno hasegawa

    Kero anazokutana nazo Amos Makalla ziara ya mkoa wa Dar, zitaiondoa CCM madarakani

    Nimepita mahali! Nimekutana na hilo neno. Kuna wachache watakaokataa kauli hiii, ila sikio lakufa halisikii dawa. =========== Dar es Salaam. Kero nne za barabara, ardhi, umeme na huduma za afya zimewasilishwa na wananchi wa Chanika wilayani Ilala, mbele ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  10. K

    Pre GE2025 Ninachokiona kwenye jimbo la Tarime vijijini, Mwita Waitara anza kufunga virago

    Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago. Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
  11. Pfizer

    Uwekezaji Bandari Dar waduwaza viongozi UVCCM

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Saklaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetembelea maeneo ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya DP World na kusema uwekezaji huo umeleta mabadiliko makubwa ya kiutendaji na ufanisi mkubwa bandarini hapo kwa maendeleo na...
  12. J

    Pre GE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  13. Jack Daniel

    Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  14. Tlaatlaah

    Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  15. T

    Je, wazee kutaka haki itendeke kwa Luhaga Mpina na Hussein Bashe kuepuka kukigawa chama?

    Kuna kila Dalili Mh Mpina wanataka kumuumiza ili kuzima hoja zake. Wanataka tumia hoja yakutoa jalada kwa wananchi wakati aliagizwa na spika. Hoja hii haina mashiko kwa sababu Mh Mpina bungeni anawajibika kwa kiti ila pia anawajibika kwa wananchi hivyo kutoa hoja zake nje ya bunge sio sababu...
  16. Tlaatlaah

    Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

    Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu...
  17. GENTAMYCINE

    Kumlaumu Dkt. Ayub Rioba kutoibadilisha TBC ukijua TBC ni CCM B ni kutaka kutuonyesha chuki zako dhidi yake

    Kama Tido Mhando aliyekuwa Mweledi kabisa akitokea BBC alishindwa Kuibadilisha TBC hadi kuondoka / kuondolewa leo hii unataka kabisa Dkt. Rioba ambae nae hatofautiani sana Kiuweledi na Mzee Tido Dustan Mhando aibadili TBC iwe utakavyo Wewe wakati unajua fika kuwa TBC na CCM ni sawa sawa na Simba...
  18. Allen Kilewella

    Pre GE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  19. Nyanda Banka

    Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

    Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo: Elimu bure Siasa za uwazi Miundombinu imara (barabara) Huduma bora za maji hususani vijijini Umeme kila mahali, na mengine mengi Ukipinga uwe na hoja au sababu...
  20. Mhafidhina07

    CCM ina watu makini sana, ujanja mwingi akili kisoda

    Nimejitahidi kuangalia kwa kina mambo ya uchaguzi, mwenendo wa uchumi, pato la mtanzania, usalama wa nchi na upatikanaji wa chakula kumenifanya niandike huu uzi wenye tittle very complicated ila ndivyo ilivyotabia ya Chama chetu cha Mapinduzi ilikuendelea na huu uzi nitoe salaam. Zidumu fikra...
Back
Top Bottom