chama cha mapinduzi

  1. Rutashubanyuma

    Tatizo la ajira kwa vijana ndilo litakalowatoa CCM madarakani

    Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads. Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali. Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
  2. J

    Hawa ndio Chama cha Mapinduzi...

    Salamu wanajamvi, Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa. Chama cha mapinduzi kupitia KATIBU mkuu wao wanawaomba watanzania tuiamini serikali yao chini ya...
  3. kevylameck

    Rais Samia na ndoto za mabinti wengi

    Na Kevin Lameck Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti. Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM. Katikati...
  4. kmbwembwe

    MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  5. crankshaft

    Nini tafsiri ya ukurasa wa CCM kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Twitter?

    Ukurasa wa chama cha mapinduzi ndio ukurasa wa chama cha siasa wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa twitter nchini. CCM 833k CHADEMA 731k Nini tafsiri ya hili jambo ikizingatiwa twitter ndio mtandao unaoaminika kuwa na watu wasomi wenye exposure juu ya taifa lao na siasa zake? ======
  6. peno hasegawa

    CCM yatoa maelekezo sakata la mgomo wafanyabiashara Kariakoo, Katiba Mpya

    Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Mei 21, 2023 imeingiza mguu katika sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo huku ikiitaka Serikali kutafuta kiini cha tatizo na kukitafutia ufumbuzi. Kamati hiyo imetoa maelekezo hayo katika kikao chake...
  7. Escrowseal1

    Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

    Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema. Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
  8. ChoiceVariable

    Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  9. J

    Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

    Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu. Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge. Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM. CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu...
  10. T

    Mama anaupiga mwingi maana yake nini? Ni ili CCM muibe kiulaini?

    Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu. Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
  11. F

    Chama Cha Mapinduzi kinahusika na ubadhirifu huu

    Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika vibaya na kuishia matumboni kwa wachache. Chama tawala kimekuwa kikijinasibu kama msimamizi wa...
  12. Superbug

    Rais Samia nakukubali wewe binafsi ila CCM hapana. Utaondoka na roho yako nzuri ya upendo ila CCM katili inaweza kubaki au kurudi tena!

    Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena. Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  13. K

    Ulipofikia Ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
  14. Mr Dudumizi

    Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  15. B

    Tundu Lissu: CCM niliachana nayo nilipojiunga chuo kikuu

    14 February 2023 TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
  16. Stephano Mgendanyi

    Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  17. mama D

    CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  19. voicer

    CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

    Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa! Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho Siasa za majukwaani zinaenda kuanza rasmi. Na kwamba atamzidi Shaka aliyekuwepo? Ambaye hata yeye...
  20. Stephano Mgendanyi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Songwe - Miundombinu ya Elimu

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA SONGWE - MIUNDOMBINU YA ELIMU Matukio mbalimbali katika picha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe Juliana Daniel Shonza akiambatana na viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) alipofanya ziara katika Kata ya Ichenjezya. Kata ilikuwa haina Shule. Mbunge...
Back
Top Bottom