chama cha mapinduzi

  1. Vugu-Vugu

    GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  2. B

    CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

    CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
  3. Adharusi

    Chama cha Mapinduzi kiseme kuhusu upandaji wa mafuta na hali ngumu ya Maisha

    Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi Nimesema...
  4. Stephano Mgendanyi

    Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  5. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  6. J

    Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi. Kwa mujibu wa...
  7. B

    Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  8. M

    Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  9. beth

    Kinana: Serikali iwachukulie hatua waliotajwa Ripoti za CAG

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro...
  10. F

    Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama. Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri...
  11. W

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  12. Fund man

    CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  13. B

    Ni nani anapaswa kujitathimini Kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Mapinduzi?

    Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea. Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
  14. kavulata

    Sababu za CCM kutoanguka tangu Uhuru hadi sasa

    CCM ni chama cha ukombozi, na vyama vingi vilivyopigania Uhuru wa nchi zao havipo tena madarakani lakini CCM bado ipo tu. Yafuatayo ni baadhi ya michango iliyosababisha CCM iendelee kubaki madarakani: 1. Haina ubaguzi mkubwa wa wananchi wake: Baada ya uchaguzi kwisha Hakuna tofauti kimaisha...
  15. M

    CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

    ==== Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
  16. beth

    Shaka Hamdu Shaka: Chama cha Mapinduzi ni sikivu, kipo tayari kupokea ushauri wakati wote

    Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano kuliko vitisho, kebehi, ubabe au kushurutishwa. Amesisitiza CCM kipo tayari wakati wote kupokea...
  17. Baraka Mina

    Picha za daraja jipya la Selander

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ujenzi wa daraja jipya la Selander (Tanzanite) lenye urefu wa km 1.30 kwa 100% ambalo litakuwa suluhisho la changamoto ya msongamano kwa jiji la Dar Es Salaam na limeanza kutumika leo 01 Februari 2022 kwa wananchi kulitumia bila malipo.
  18. Hismastersvoice

    Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro halikuandaliwa Kichagga

    Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia! Kwa kifupi khanga hizo zingeweza kutumika mkoa wowote nchini, pia tamasha limetawaliwa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi...
  19. The Khoisan

    CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

    Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa huko nyuma za ubadhirifu na ufisadi. Ilifikia mpaka kwa kiburi najeuri kudai wazi wazi kuwa zile pesa...
  20. MamaSamia2025

    Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
Back
Top Bottom