Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao.
Imefika mahali kikundi hicho...
KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa...
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani.
Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI?
Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan.
Kikao...
Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!!
Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM!
Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani
Watakushughulikia kungali kweupe!
Hii...
Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kauli ambayo ameitamka waziwazi bila kificho NAPE MOSSES, MBUNGE WA MTAMA.
Kwa hali hiyo na maana pana ni kwamba hii nchi imepo mikononi mwao hakuna wa kutoa maneno kwa sasa mheshimiwa polepole amebaki kuwa kiroboto ambaye muda wowote atanyunyuziwa dawa na...
Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu...
Kwanza kabisa niwapongeze "deep state" kwa kazi nzito na iliyotukuka mliyoifanya tangu Tanzania ipate uhuru hadi leo, mumekuwa muhimili muhimu kuhakikisha Tanzania inavuka salama katika nyakati zote ngumu, huku mukihakikisha kuwa amani ya nchi haichezewi wala kutiwa doa na mtu yeyote.
Kijani...
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki.
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa.
CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na uzamivu wenye mantiki. Hoja kubwa za wanaCCM ni namna wanavyoweza kudhibiti mihemko na kushangilia...
Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli.
Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja.
Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga...
Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
Uzindizi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma
15 Oct 2021
Katibu Wa NEC Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dkt. Maudline Cyrus Castico amezindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma white House...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.