chama cha mapinduzi

  1. M

    Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  2. chizcom

    Maendeleo hayawezi kuletwa haraka kwa sababu yanatumika kama mtaji wa kisiasa kwa chama tawala

    Tuna vitu vingi Tanzania tumebarikiwa ila kutokana na siasa mbovu ndio mtaji unaotumika kuzoretesha au kuchelewesha maendeleo. Watawala na viongozi utumia mbinu hii kama mtaji wao upate maendeleo. Na hii kauli hata marehemu Jpm alisema "siwezi kukuletea maendeleo sababu umechagua mpinzani"
  3. saidoo25

    Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

    Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi? Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu.
  4. kavulata

    Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  5. K

    Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  6. CM 1774858

    Shaka: CCM imetimia kazi inaendelea. Maandalizi ya Mkutano Mkuu yamefikia 99%, wajumbe tembeeni vifua mbele

    Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, imempitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea uenyeki wa CCM katika uchaguzi wa Chama utakaofanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC kilichoketi leo Desemba 6, 2022 Shaka...
  7. Sir robby

    CCM ihalalishe rushwa kwa kuwa imeshindwa kuidhibiti

    Wadau habari, Moja ya ahadi za Mwana- CCM ni hii Rushwa ni Adui wa Haki Sitapokea wala kutoa Rushwa. Ahadi hiyo imethibitika kushindikana ndani ya CCM kama Chama Tawala na SERIKALINI kwa sababu viongozi wote wa Serikali, Bunge na Mahakama pamoja na majeshi yetu ni wanachama wa CCM japo kwa...
  8. Robert S Gulenga

    Wakati CCM wanatengeneza safu ngumu ya uongozi, Wengine wanaendelea kufanya mikutano na Wanaharakati Twitter. 2025 watarudi kusema wameibiwa kura

    Mtaji wa chama chochote kinacho taka kushika dola ni Imani ya Wananchi juu ya chama hicho inayojengwa na uwepo wa viongozi bora na wenye utashi. Chama cha Mapinduzi kwa namna kinavyoendesha siasa zake kwa sasa bila shaka wana nia ya dhati kuendelea kushika dola na hili linathibitishwakwa na...
  9. wakatanta

    CCM wajumbe wengi wa NEC taifa ni watu wenye pesa na wamehonga kupata nafasi hizo, tutarajie nini huko mbeleni?

    Nayasema haya si kwa kubahatisha,nimefanya uchunguzi karibu nchi nzima kujiridhisha, nafasi hizi zimejaa wengi wao matajiri na wafanyabiashara wakubwa ambao hawana kabisa ufahamu kabisa wa masuala ya siasa zaidi ya biashara,hii imepelekea wanaccm wafiia chama kushindwa kupenya. Hii CCM ya sasa...
  10. SALOK

    KISIASA: Tanzania tuna chama kimoja tu, CCM!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo. Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa kwa...
  11. Sir robby

    Rushwa kwenye chaguzi CCM zinatia kinyaa

    CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini. Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
  12. Girland

    CCM vs Dkt. Bashiru: Nini kinaendelea?

    UKIONA VYAELEA, UJUE VIMEUNDWA walisema wahenga wa zamani. Tumeshuhudia press ya Dk Bashiru na baadaye viongozi mbalimbali wakipinga vikali msimamo wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM. Tukio hili linafanana kwa ukaribu na tukio la kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika baada ya shinikizo Kali kutoka kwa...
  13. J

    Je, CCM bila Mkapa itatoboa?

    Kwa Sasa kila mwanaccm anasimama na kusema chochote huku huyu akimtisha yule Najiuliza tu mtatuzi wa migogoro mingi ndani ya Chama alikuwa Mzee Mkapa na Wote walimwogopa Sasa Mkapa amelala, je CCM itatoboa?
  14. J

    Kwa sasa ni vigumu kuwapata watu aina ya Edwin Mtei ndani ya CCM, wenye uwezo wa kuwashauri kwa kuwasahihisha Viongozi wa Juu

    Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
  15. CM 1774858

    UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  16. Ojuolegbha

    Picha: Rais Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma. Vikao hivyo vinaongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais wa...
  17. The Palm Beach

    Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  18. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  19. Z

    Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
  20. B

    DC Jerry Muro ashinda kwa kishindo kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM- Taifa

    DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa...
Back
Top Bottom