chama cha wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo wa chama cha wafanyakazi aingia katika sakata la cheti

    Taarifa zinazozunguka katika baadhi ya duru za wafanyakazi zinamhusisha mmoja wa vigogo wa chama kikubwa cha wafanyakazi nchini na sakata linalodaiwa kuhusisha utata wa cheti cha elimu. Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo bado hazijathibitishwa rasmi na mamlaka zinazohusika, suala hilo linadaiwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu katika halmashauri ya Mbozi hatupewi nafasi ya kuchagua chama cha wafanyakazi tunachotaka, tunalazimishiwa CWT

    Tunaomba kufikishwa kwa mamlaka husika malalamiko yetu kutoka kwa walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kuhusu changamoto inayojitokeza katika suala la uchaguzi wa vyama vya wafanyakazi. Kumekuwa na malalamiko kwamba watumishi wa kada ya ualimu wanazuiwa au kushinikizwa kubadilisha au...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua taratibu za kujitoa Chama cha Wafanyakazi TUGHE!

    Maboss. Naomba mwongozo wa kujitoa kwenye Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) HR ameonesha ujeuri wa kutonipa ushirikiano. Najitoa kwasababu binafsi. Naamini sio kosa Kiutumishi. Asanteni.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chama cha Wafanyakazi Kibondo (TALGWU) na makato yasiyo sawa

    Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo. Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/= Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita bila kusomewa Mapato na Matumizi katika Chama, je! Ukaguzi wa ndani na nje ya Halmashauri...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitendo cha Halmashauri ya Tunduru kutuunga wafanyakazi wapya katika vyama vya wafanyakazi bila kutupa nafasi ya kuchagua si cha kiungwana

    Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika. Lakini imekuwa tofauti tumejikuta tunakatwa hela kwenye mshahara na hatujui inaenda wapi. Tulipofuatilia ndipo tuligundua hilo...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  7. JamiiForums Tanzania Trump apunguza wafanyakazi wa USAID kutoka 10,000 hadi 300. Chama cha wafanyakazi serikali chafungua kesi mahakamani

    Wakuu, Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuvunja Shirika la Msaada wa Kibinadamu la Marekani (USAID) na kupunguza wafanyakazi, vyama vya wafanyakazi wa serikali nchini Marekani, vimewasilisha kesi mahakamani kuitaka kusitisha mpango wa kufungwa kwa shirika hilo, vikisema Rais Donald Trump...
  8. JamiiForums Tanzania Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  9. JamiiForums Tanzania KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  10. JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  11. JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  12. JamiiForums Tanzania Wajumbe Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu (RAAWU) wamkataa mwenyekiti wao

    Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro. Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
  13. JamiiForums Tanzania Tunisia: Chama kikuu cha Wafanyakazi champinga Rais Saied

    Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…