Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja.
Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja.
Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari.
Lakini uhalisia wa mambo unaendelea...
Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja.
Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika.
Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
matumizi...
Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
Kuna ajenda gani kati ya Rais Samia na Vilabu vya Simba na Yanga?, Wanatumika kisiasa na kufanya kampeni kabla ya wakati
Kuna namna CCM wanawatumia hawa wasemaji wa vilabu hivi pendwa nchini kujinufaisha kisiasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi, badala ya kuwekeza nguvu kwenye miradi ya maendeleo...
Hii hali ya kujidanganya kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi kunatupotezea muda wa kupata demokrasia halisi ya vyama vingi, mimi nishauri hivi vyama vilivyopo vingekubaliana kuweka mpira kwapani ili dunia nzima ijue kuwa serikali ya Tanzania haina nia ya kuruhusu upinzani.
Kuna namna...
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.
Dkt. Benson...
Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
Salaam, Shalom!!
SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua Polepole. Mzee mwenye umri wa miaka sitini , ndoto zake Huwa amezihamishia Kwa watoto na wajukuu zake...
Nawafunza somo jepesi.
Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee.
Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo chini ya wakomunisti pekee kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya watu wa China.
Nawakumbusha kuna...
Toka uhuru mpaka sasa tumetawaliwa na mfumo wa chama kimoja, na bado watu wanaita ni Nchi ya Demokrasia.
Uchaguzi unaofanyika Nchini ni kama bosheni tu, na uchaguzi halali ni ule unaofanyika katika kamati kuu ya chama tawala kumpitisha mgombea. Mgombea akishapitishwa na chama tawala tayari huyo...
Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali.
Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa...
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia...
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.
Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja!
Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote.
Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura.
Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.