Ni maoni yangu:
Kwa kuwasikiliza viongozi wetu wa juu wa chama, kuna dalili ya kurudi mfumo wa utawala wa chama kimoja.
.Sina takwimu ni Watanzania wangapi wangependa iwe hivyo,japo hakuna aliyejitokeza waziwazi ndani ya chama Tawala kusemea hii trend.
Athari mojawapo kubwa ni kuwa na utawala...
Kutokana na mienendo ya kisiasa inavyokwenfa nchini kwetu, kuna tetesi kuwa watawala wetu wako mbioni kurejesha mfumo wa chama kimoja
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inatamka kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itaendeshwa katika mfumo wa...
Tokea mwaka 1992, nchi yetu iliamua kuirejesha nchi hii kwenye mfumo wa vyama vingi na mfumo huo ukaingizwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) ambayo inatamka wazi kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi" mwisho wa...
Na Elius Ndabila
Jana wakati Mh Mkapa akizindua kitabu chake, moja ya nukuu zake alisema CCM INADHANI IPO CHAMA KIMOJA. Kwa wanasiasa hii ilikuwa ni kauli nzito nainayohitajika kuchambuliwa kwa kina hasa na wachambuzi wa maswala ya siasa.
Ni nukuu ambayo haihitaji tu kutafakari, lakini pia...
Wadau.
Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa.
Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose"
Hongera Sana Mzee Wetu.
----
Benjamin William Mkapa is a...
Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee.
Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%?
Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au...
Wanabodi.
Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja?
Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. Japo sio kila mara mawingu huleta mvua lakini kila yaonekanapo walau kunakuwepoa matumaini au labda hisia kuwa mvua itanyesha. Hali ya kisiasa ya nchi yetu chini ya awamu hii ina dalili nyingi ambazo zikitazamwa kwa pamoja na haiba na kaliba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.