chama kimoja

  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Madhara ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu ndio haya. Wenye nchi chukueni hatua

    Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini. Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
  2. J

    Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

    Baada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni Bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa na Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe walipokuwa bungeni. Bunge la...
  3. Lububi

    Mali za CCM zilizotokana na makato kwa raia wote wakati wa chama kimoja ni haki ya nani?

    Mada yangu iko wazi wazi. Naomba wajuvi wa mambo ya haki na umiliki, bila mahaba ya kisiasa waniweke sawa. Hivi mali zilizopatikana kwakuwakata tozo na kodi na ushuru, raia wote wakat wa chama kimoja cha CCM leo hii kwa nini wazimiliki raia wa chama kimoja? Hapa namaanisha majumba, viwanja...
  4. Mmawia

    Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

    Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho. Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa. Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri...
  5. P

    Chama kimoja nchini siyo demokrasia. Mfumo wa vyama vingi inatafsiriwa ni uchochezi

    Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi. Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
  6. S

    Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  7. B

    TANU na CCM walikuwa wanawasomesha watu wa propaganda nje ya nchi kwa ajili yakukabiliana na Nani wakati wa chama kimoja?

    Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
  8. M

    Awamu ya 5 ilitaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa nguvu

    Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga. Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya...
  9. J

    Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  10. I

    Nchi ikiwa ya chama kimoja anayepata faida ni Rais tu siyo chama!

    Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu How! Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka chochote hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mana wabunge wote wanakuwa waoga hususani hawa ambao wamepewa...
  11. M

    Historia imejirudia! 20% walitaka vyama vingi na 80% walitaka chama kimoja

    Yaliyotokea sasa katika uchaguzi huu mkuu wa 2020 ni kujirudia kwa historia hasa hile tume ya Nyalali ambayo ilipita nchi nzima wakati wa utawala wa Aliy Mwinyi Junia na kurudi na hayo mapendekezo ya 20% kwa 80% aproksimetili. Watanzania wanatabia tofauti na watu wowote wa bara la Afria huwa...
  12. MoseKing

    CCM, Mfumo wa Chama kimoja na Kisa cha malaika wa Zawadi

    Kisa chenyewe! "Malaika mmoja alimtokea Mtu mmoja nyumbani kwake, akamwambia maombi yake kuhusu hali ngumu yamesikilizwa na hivyo anaweza kumwambia cochote akamsaidia. Ila kabla hajachagua kuna sharti moja tu, cochote atachokiomba JIRANI atapata Mara Mbili yake! Yule mtu baada ya kusikia...
  13. Q

    Bunge la Chama kimoja tutegemee tena G55 mpya ikitokea?

    Tanzania ina uzoefu wa kuwa na Bunge la chama kimoja, lkn pamoja na kuwa na bunge la chama kimoja kulikuwa na mijadala mikali na hoja nzito zilizojadiliwa ukiwamo ule wa kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika uliotokea kwenye miaka ya 1990 al maarufu kama G55. Wabunge wa CCM wa wakati huo kina...
  14. J

    Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  15. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

    Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu. Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo. Pia tumeona Maalim SEIF Mwenyekiti wwa ACT wazalendo...
  16. T

    Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )

    Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama. Hakuna uhuru wa maoni Hakuna uhuru wa vyombo vya habari Hakuna mijadala ya hoja kwenye media Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja Rais amekuwa mfalme Deni...
  17. Titicomb

    Uchaguzi 2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  18. safuher

    Kikibaki chama kimoja ndio Upinzani wa kweli utaposhika hatamu

    Sasa hivi ili uwe mwana CCM wa kweli na mzalendo basi ni lazima ukitetee chama chako cha CCM dhidi ya Wapinzani na kuwapinga katika hoja zao. Jambo hili linafanya wapinzani wahangaike katika kukosoa mambo ya maendeleo kweli wakati huo chama tawala wanahangaika katika kusifia tu na kuwajibu...
  19. J

    Wasanii wa Tanzania wanaishi katika mfumo wa chama kimoja, vipaji vyaweza kudumaa

    Naelewa kuwa Wasanii wengi wanalelewa na CCM kiufadhili na kifursa lakini hiyo siyo sababu ya wao kuishi ndani ya box. Kwa sasa wasanii wote wako busy kutunga nyimbo za kuienzi CCM, hilo ni jambo jema lakini wasisahau kuwa nje ya siasa maisha ni lazima yaendelee. Wasanii wote wanapokuwa na...
  20. J

    NCCR Mageuzi: Abadani hatutaruhusu nchi kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja. Mbatia adai alifukuzwa UDSM akipigania mageuzi

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi amesema wale vijana wadogo kwenye Siasa wanaodhani watairudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja wanajidanganya na kuota ndoto za mchana. Mbatia amesema alifukuzwa Chuo Kikuu pale UDSM tarehe 10/02/1992 siku ya Jumatatu kwa sababu ya harakati zake za kupigania...
Back
Top Bottom