Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C).
CHAUMMA oyeeee!
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano...
Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.