chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  2. M

    Lissu abanwa vikali na Mwana CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa ndani ya chama

    Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Kijana aitwaye Lumola ambaye alikuwa ni mgombea ubunge mwaka 2020 alimuuliza Lissu swali zito ambalo Lissu...
  3. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  4. K

    Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

    Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii. Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
  5. M

    Taarifa zangu za NIDA zinaweza kufikiwa na Chama cha siasa?

    Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
  6. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  7. Pfizer

    Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  8. T

    Pre GE2025 Sauti ya Watanzania kusagia kunguni CHADEMA kila siku, wanatumiwa kudhoofisha chama

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike. Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
  9. Nehemia Kilave

    Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

    Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
  10. Kikwava

    Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  11. Mmawia

    Askofu Bagonza, Watawala wanatuaminisha kuwa CHADEMA ndiyo chama tawala Tanzania.

    Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo. Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba. UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
  12. Black Butterfly

    Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  13. T

    Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  14. Yoda

    Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  15. Nehemia Kilave

    Nadhani kuna haja ya kuwa na Chama cha kutetea haki za wanaume

    Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
  16. F

    Kila kinachotokea kwa CHADEMA kinapaisha umaarufu wa chama hiki, tusonge mbele

    Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.
  17. J

    Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
  18. G

    Una lipi la kusema kwa ma agent wa Clautos Chama na Fabrice Ngoma kulalamikia timu zao haziheshimu kipengere cha kuwaanzisha first eleven?

    Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
  19. Allen Kilewella

    CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

    Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM. Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola. Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na nchi Iko rehani Kwa kuendelea kuwaacha CCM kuwa madarakani.
  20. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
Back
Top Bottom