kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa na succession plan ndiyo tatizo lake. Chama kilichotegemewa na wananchi kinaporomoka kama uyoga