chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Kabende Msakila

    ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  2. DR Mambo Jambo

    NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

    Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana.. Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za...
  3. Wafuasi wa Rais

    Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  4. Shooter Again

    Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

    Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza mda Kwa diktekta mbowe ambaye chama amekifanya kama geto lake
  5. BLACK MOVEMENT

    Kwa katiba iliyopo, still Lissu anaweza fanya harakati bila Chama, hilo linashindaka pia? Kuitisha maandamano huhitaji kuwa kwenye Chama cha siasa

    Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako. Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
  6. Mr Why

    Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  7. Red sky

    Mbowe, kwa maslahi ya Chama na Taifa kwa Ujumla Fuata ushauri wa Familia

    Nikiwa kama mfatiliaji mkubwa wa mambo ya kisiasa nchini ningepeda pia nitoe ushauli kwa Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Mh Freeman Mboe, huu ndo wakati sahihi wakupumzika majukumu makubwa ya uenyekiti. Ikumbukwe mpaka sasa wewe ndo Kiongozi bola zaidi wa nafasi hiyo kwa vyama vyaupinzani...
  8. Q

    Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

    Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
  9. Minjingu Jingu

    Inaumiza sana. Sisi tunapambania chama, tunasifu na kuabudu viongozi wanakuja faidika wengine

    Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao. Dulla hawaoni hawa? Pesa...
  10. Gabeji

    Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

    Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
  11. DaudiAiko

    Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  12. T

    Hakika Chama Kimekomaa

    Baada ya kelele za kutosha..wote wanaoitakia mema CHADEMA tuseme..Let the Will of God be Done! Asante.
  13. chakii

    Lissu usiogope kuanzisha Chama cha Siasa, Watanzania tunaopenda mabadiliko tupo tayari kuchangia uendeshaji

    Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
  14. Christopher Wallace

    Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

    Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali. Kwaa yanayoendelea...
  15. econonist

    Lissu Kaa pembeni waachie chama chao.

    Kwa Sasa inavyoonekana hapo CHADEMA ni kwamba chama ni Mali ya mtu. Na yeyoyote atakaye taka kuwa mwenyekiti wa chama nje ya Mbowe lazima apopolewe mawe na kuitwa majina yote. Kwamba CHADEMA kipo kwaajili ya watu Fulani tu na wengine hawaruhiisiwi kushika uenyekiti. Namshauri Kamanda Lissu...
  16. britanicca

    Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

    Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo, Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani? Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo 1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited 2. Unaweza...
  17. K

    Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  18. britanicca

    Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

    PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa...
  19. Lord denning

    Unaweza kuwa wakati wa CHADEMA kuiteka mioyo ya Watanzania kipekee na kujisikima kuwa chama cha kipekee kabisa Tanzania!

    Ukweli ni kuwa CCM ipo ilipo kwa sababu ya vyombo vya dola. Na endapo leo hii vyombo hivi vikisema hatuiungi mkono tena CCM huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kuongoza Tanzania. Kwa upande wa vyama mbadala ni chama kimoja tu ambacho kwa muda mrefu sasa kimeweza kuonekana kuwa ndo mbadala sahihi wa...
  20. G

    Mbowe na chama chake anaelekea kuingia kwenye kundi la John Cheyo Mrema Lipumba ameamua kuzama na Jahazi

    Kuna haja Gani ya kungangania madaraka Kama umejenga chama na Mifumo imara kwa miaka 20 Nilifikiri angegombea Uraisi lakini pia hafai kabisa , Kama mkiti wa chama ameshindwa kujenga Mifumo ni nchi iliyojaa rasilimali Kibao Aibu kwa watu tuliowaona wangemshauri wamekuwa machawa
Back
Top Bottom