chamazi

Chamazi is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 79,705 people in the ward, from 63,650 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Game ya Yanga na Azam itapigwa Chamazi?

    Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo? Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli? Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
  2. Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  3. Nauza redio yangu Boss 180 iko Chamazi

    Nuza redio yangu aina ya BOSS mali halali iko chamazi piga simu 0711427984
  4. Kama unatokea Kimbiji, kati ya Chamazi na Mwenge wapi ni mbali zaidi?

    Ili kuendelea na drama zao za sizitaki mbichi hizi, msemaji wa Deportivo la Utopolo amenukuliwa akisema kuwa uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi ni mbaaali sana kwao ni kama walikuwa wanasafiri kwenda mkoani. Sijajua hili wamegundua lini maana walikuwa wanapasifia balaa hadi pale walipopokea...
  5. Ali kamwe: Uwanja wa Chamazi viti vilikuwa vidogo kama vya watoto wa Primary

    Muwe na Siku njema
  6. Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  7. Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  8. CCTV yanasa mtu akimwaga vitu lango Kuu la Chamazi kabla ya mechi ya Yanga SC na Azam FC

    Picha za mjongeo kutoka kwenye CCTV za dimba la Chamazi zikionesha Mtu akimwaga vitu eneo la kuingilia uwanjani, punde tu baada ya Azam kukabidhi uwanja kwa mamlaka kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga SC. Soma: Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya...
  9. Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  10. FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

    Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa saa 1:00 jioni. Karibuni tufuatilie game hii. Kikosi cha Simba SC Kikosi cha Geita Gold
  11. Kwa hizi mvua mechi zote zilizobaki zichezwe Chamazi au Mkapa

    Jana tumeona mechi ya Yanga na JKT ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji, kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka JKT walitaka wachezaji wa Yanga waumie). Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na...
  12. Hii rasmi: Simba inarudi chamazi badala ya Jamhuri

  13. AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  14. FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

    ⚽️ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji 05.02.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku. Mpira umeanza Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 9 Yanga SC wanapata Kona ya kwanza Dakika ya 15 Bado ni 0-0 Dakika ya 20 Yanga SC wanakosa goli la wazi Dakika ya 25 Pacome anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 27 Mchezaji wa...
  15. Yaani uchangiwe na Maadui wa Kaunda, Chamazi, Kiomboi na Mlaji wa Ndege Mwenyewe halafu Unyanyue Kwapa Kisiwani?

    Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni ambaye hakika alishindwa Kufurukuta leo Ziarani Unguja na kuwa Mkali kama ilivyo Asili yake.
  16. Simba mnaukataa uwanja wa chamazi mtakwenda wapi? Uhuru umefungwa ngoja tuone mtakimbilia wapi!

    Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa mtakimbilia wapi? Mtaenda Zanzibar au mikoani? Mwisho wa siku akuna ujanja mtachezea CHAMAZI mtake msitake...
  17. Yanga SC mnatoa Saa ngapi Silaha zenu Chamazi ili nasi Simba SC tuweke zetu ili Power Dynamos FC akione cha Mtema Kuni

    au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
  18. Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

    Leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
  19. K

    FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

    Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani. Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS. Mpira unaendelea..
  20. FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…