A
Anonymous
Guest
Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze kutolewa.
Jambo lingine, kila Jumamosi walimu wanachangisha Sh 2,500 kwa ajili ya kwenda kushindana na shule jirani. Wanafunzi wanapakizwa kwenye daladala moja wakiwa zaidi ya wanafunzi mia saba.
Jambo lingine, kila Jumamosi walimu wanachangisha Sh 2,500 kwa ajili ya kwenda kushindana na shule jirani. Wanafunzi wanapakizwa kwenye daladala moja wakiwa zaidi ya wanafunzi mia saba.