changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shirikisho la Wanaume Wanaopitia Changamoto kwenye Ndoa (SHIWACHANDO). Wajumbe watoa shuhuda

  2. Kufungia Twitter (X) Tanzania: Je, Ni Suluhisho Sahihi kwa Changamoto za Kimaadili?

    Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM). Ninaamini kufungia mtandao huu sio suluhisho bora kwa changamoto za maadili tunazokabiliana nazo kama...
  3. Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  4. W

    Msaada: Napata changamoto ya ku-login NACTEVET akaunti

    Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username ni namba yangu ya mtihani. Mbaya zaidi nikijaribu option ya kuset password naye inakataa. Mbaya zaidi...
  5. Mwigulu: Tumetoa Bilioni 100+ ya malipo ya Boom kwa Wanafunzi, Serikali itashughulikia kama kutakuwa na changamoto ya ziada

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni Pia soma: ~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi ~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM hawajalipwa fedha zao za Boom kutoka Bodi ya Mkopo na uongozi upo kimya ~ Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM...
  6. Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  7. A

    KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  8. SoC04 Usimamizi wa taka na usafi wa mazingira: Changamoto na suluhisho la kudumu

    Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
  9. Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  10. J

    Jifunze kupambana na changamoto ya maisha 1

    Kuna kijana mmoja aliyeitwa Juma, alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo. Maisha yalikuwa magumu, na familia yake ilitegemea kilimo kuweza kujikimu. Licha ya changamoto nyingi, Juma alikuwa na ndoto kubwa - alitaka kubadilisha maisha yake na kusaidia jamii yake. Juma alianza kwa kujifunza...
  11. SoC04 Vituo vya kilimo vya wilaya kutatua changamoto za wakulima

    Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
  12. Tyson apata changamoto ya kiafya, pambano lake na Jake Paul laahirishwa

    Pambano la ndondi kati ya Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo itaathiri ratiba yake ya mazoezi kwa wiki kadhaa zijazo Pande zote mbili zimeafiki juu ya maamuzi hayo na inatarajiwa Tyson atarejea...
  13. P

    SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  14. D

    Changamoto katika mfumo wa PEPMIS

    Huu mfumo bado haujakaa sawa kwani kuna mambo kadhaa yanapaswa kutafutiwa ufumbuzi. Kwanza katika siku zilizopendekezwa au mara nyingi ukifungua mtandao huu speed au kasi ya ufungukaji ni ndogo hadi inakatisha tamaa sijui ni kasi ya inteneti iliyopo haikidhi mahitaji ya taasisi zinazojaza au...
  15. N

    Kwenye utatuzi wa kero na changamoto za wananchi serikali itumie hili wazo linaweza kuwasaidia

    Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa) “Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
  16. Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja

    "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
  17. SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  18. M

    SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  19. Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini

    Wakulima Katika baadhi ya Vijiji Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamedai kupata hasara kubwa kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea katika mazao yao baada ya wanyama aina ya Tumbili kuvamia mashamba yao na kula mazao mbalimbali shambani. Baadhi ya mazao ambayo yameshambuliwa ni kwa kiasi...
  20. SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Kutokana na ukuaji wa miji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu uhitaji wa usafiri wa kwenda kazini na kurudi nyumbani. Kwa mfano katika jiji la Mwanza, wafanyakazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…