changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

    Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga. Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda. Kimsingi wyf...
  2. Pre GE2025 Balozi Nchimbi: Wizara ya Kilimo ishughulikie changamoto zilizojitokeza msimu uliopita ili zisijirudie kwenye ugawaji wa pembejeo msimu ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
  3. M

    Napata changamoto katika kuconfirm chuo

    Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
  4. DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma

    DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma...
  5. Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  6. Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  7. Changamoto bandari ya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa...
  8. Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
  9. H

    Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  10. Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  11.  DUWASA: Changamoto ya kusambaa kwa majitaka Dodoma kulikosababishwa na chemba kuziba, imetatuliwa

    MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
  12. Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  13. E

    Kuna muda ukiwafikiria hawa members wa JF kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael

    Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
  14. Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  15. Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  16. Unapata changamoto kutumia WhatsApp?

    WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
  17. DAWASA: Ni kweli Kariakoo kuna changamoto ya Majitaka, tunakaribia kuanza utekelezaji wa mradi utakaoleta suluhu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji. Kutokana na changamoto hiyo...
  18. M

    KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  19. J

    Usugu wa dawa za VVU waibua changamoto mpya za matibabu

    Asilimia 5.8 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (waviu) na wanaotumia dawa, wanakabiliwa na tatizo la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo, utafiti mpya umeonyesha. Usugu wa dawa dhidi ya vimelea vya magonjwa ni changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa...
  20. Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…