changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Changamoto za deep freezer

    Ni kitu gani kimeungua hadi nyaya zimepukutika karibu na tank la gesi?
  2. N

    Changamoto kwenye mfumo wa Ajira Portal

    Habari wakuu! Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi...
  3. Nina wazo hili, linaweza kutatua changamoto ya ajira kwa kiasi chake

    Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job . Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then...
  4. Changamoto wakutanazo wakinamama waokotao nguo zilizotupwa Dampo na kwenda kuziuza masokoni

    Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani. Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo ni kawaida sana kukutana nazo, Wa mama hao wamesema kuwa mara nyingi hukutana na maiti za watoto...
  5. TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  6. Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  7. Kwanini Freemasons wanapenda kuwaweka viganjani mwao Marais wa dunia na ukiwakataa kamwe hudumu au unapatwa na changamoto?

    Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika. Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa Tanzania halafu labda nikawa na Shughuli / Hafla Uwanja wa Uhuru huku Watu wakiwa wengi moja ya Sharti...
  8. Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  9. Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  10. H

    Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Kilimo ni UTI wa mgongo Kilimo ni maisha Kilimo ni utajiri Kilimo ni chakula. Kilimo ni pesa na utajiri. Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani. Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao...
  11. Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  12. Kuna tatizo lolote Kimantiki kwa Asiyeoa au Asiyeolewa Kukushauri mambo ya Maisha yako ya Ndoa na Changamoto unazozipata?

    Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
  13. Changamoto gani iliopo kwenye biashara ya dagaa

    JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo. Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
  14. Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  15. Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

    Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa). Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
  16. Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Baadhi ya changamoto Vyuoni ni mbanano wa Wahadhiri ofisini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
  17. KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

    Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi. Nimeingia kituo cha City Council...
  18. Changamoto ya mfumo wa nactvet kushindwa kutoa avn

    Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi. Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
  19. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  20. A

    KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tunaomba kutatuliwa changamoto ya matokeo tangu 2020 hatujapata vyeti

    Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa kwanza yaani 2017-2018 kuwa baadhi yetu walipata incomplete baadhi ya masomo na we gine Carry, but...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…