chanjo ya corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    #COVID19 Visions & Trends Readings: Unaweza Usiamini Hili, "Namuona Baba Askofu Mpinga Chanjo, Ukichanjwa Chanjo ya Corona!"

    Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
  2. Ramon Abbas

    Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

    Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga. Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama...
  3. J

    #COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema. Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu...
  4. Nyani Ngabu

    #COVID19 Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

    Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali. Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
  5. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 IGP Sirro: Msidanganywe kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa kauli hii ya Mkuu wa Jeshi la Polisi maana yake kuna waliodanganya/kupotosha jamii. Tunasubiri hatua zaidi zichukuliwe!
  6. Melchizedek

    #COVID19 Kwanini Tunaogopa Chanjo ya Corona

    Chanjo kama chanjo Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo! Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali ! Aina ya chanjo za awali [ English ] 1 BCG vaccine (...
  7. G

    #COVID19 Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

    Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi ambazo ni Socio-Cultural infuenced. 1. Chanjo ya Corona ni mpango wa wazungu kutuua? JIBU: Wazungu...
  8. lodirofaa

    #COVID19 Je, ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unapima tena?

    Wakuu nilikuwa nahitaji ufafanuzi je ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unatakiwa upime tena?
  9. Memento

    #COVID19 Rais Samia na Serikali, chanjo ya Johnson & Johnson inahitaji mtu apate tena booster

    Kuhusu chanjo ya Johnson and Johnson, Leo nimesikiliza vizuri Serikali ikizungumzia hili suala na Mh. Raisi amezungumza kuwa unapata chanjo moja tu. Hapa kuna jambo halipo sawa, kwa taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari ambavyo ni credible Kama New York Times, Reuters, daily mail vinasema...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  11. L

    #COVID19 Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo. Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa Morogoro. Nilichokisikia sikuamini. Watumishi wengi wa kada moja iliyopewa kipaumbele cha kupata hawataki...
  12. Kivumishi Kielezi

    #COVID19 Chanjo za corona zimehakikiwaje?

    Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson. Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji. Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo...
  13. Suley2019

    #COVID19 Viongozi wa dini wakubali kufata maelekezo ya Wataalamu wa Afya katika kukabiliana na Covid-19

    Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa huo. Kauli ya viongozi hao imekuja siku chache baada ya chanjo zaidi ya milioni 1 za Covid - 19...
  14. beijing_07

    #COVID19 Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  15. S

    #COVID19 Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  16. J

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  18. Recipient

    Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  19. Fundi Madirisha

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  20. R

    Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

    Simple logic inaniongoza hivi: 1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained. 2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated 3. And to...
Back
Top Bottom