chanjo ya corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinuju

    Gazeti la Mzalendo: kuhusu ulazimishaji chanjo ya Corona, Chadema yapondwa kila kona

    Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake. Watanzania wengi wameendelea kuungana...
  2. Shujaa Mwendazake

    Mapokezi chanjo ya Corona: Ni wakati sasa kutazama utendaji wa Waziri wa Afya

    Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe. Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
  3. Analogia Malenga

    #COVID19 Profesa Lipumba apata chanjo ya Covid-19, ashauri wananchi wachangamkie fursa

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa corona. Profesa Lipumba amepata chanjo hiyo leo Jumatano Julai 22,2021 katika kliniki ya Umoja wa Mataifa zilizopo Masaki. Akizungumza na waandishi baada ya kutoka kupata chanjo...
  4. S

    #COVID19 Chanjo ya Corona iwe lazima kwa baadhi ya makundi yanayotoa huduma za kijamii

    Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine. Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika...
  5. Analogia Malenga

    #COVID19 Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya...
  6. M

    #COVID19 Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

    Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
  7. Analogia Malenga

    #COVID19 Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  8. J

    #COVID19 Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  9. M

    #COVID19 London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

    Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!
  10. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  11. J

    #COVID19 Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  12. Q

    Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    "Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa. Mahonda, Kaskazini Unguja. Mei 29, 2021.
  13. OLS

    Chanjo ya Corona ikitolewa kwa hiyari, tutakula hasara

    Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara Hasara ya chanjo kuwa hiyari Chanjo tunanunua na kuongezewa...
  14. M

    Chanjo ya corona: Ushuhuda wa huyu jamaa msikilize (FAKE NEWS)

    Hebu atakayefanikiwa kumsikiliza vizuri atufafanulie anacholalamika huyu jamaa. Inaelekea chanjo ya corona imemwunganisha moja kwa moja na mtandak wa AstraZeneca(chanjo ya corona kupitia bluetooth). Click hiyo picha umsikilize. FACT CHECK: Fact Check-AstraZeneca’s COVID-19 vaccine does not...
  15. Yoda

    Kwanini tunaendelea kujivuta kuhusu chanjo za Corona? Tunahitaji tubembelezwe kuhusu kuyathamini maisha yetu wenyewe?

    Watu wameanza kupatawa na mashaka ya kuja wimbi la tatu la COVID 19. Kwa sabubu kamati ya Rais kuhusu CORONA ilikwisha pendekeza chanjo ziletwe na kila anayetaka achanjwe kwa hiari yake ni vyema Wizara ya Afya ikatangaza kuwaita pamoja wadau muhimu haraka iwezekanavyo ili kuweka mpango mkakati...
Back
Top Bottom