chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. #COVID19 Chanjo ya COVID-19

    Ofisini kwetu limekuja agizo kwamba wafanyakazi wote tunatakiwa kuchanja tuwe na certificate ya COVID-19. Binafsi nipo mikoa ya kanda ya ziwa huku ambako wengi hawakubaliani na chanjo. Nilijiamini SIKU nikienda NI kufika Tu na kuchanja maana wengi kitaa wanasema hawachanji. Sasa Jana...
  2. #COVID19 Afisa Elimu Simanjiro: Viongozi wapate chanjo hadharani ili kuhamasisha wananchi

    VIONGOZI wa Serikali na vyama vya kisiasa nchini wameaswa kupata chanjo ya Uviko-19 hadharani, ili kuhamasisha jamii ishiriki shughuli hiyo kuliko kuchanja wenyewe bila kuonekana. Ofisa elimu ya msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Silvanus Tairo amesema endapo viongozi...
  3. Mamlaka husika ichunguze uthabiti wa chanjo ya kuku ya Tatu Moja

    Wasalaam wakuu, Kwa sisi wafugaji hasa wa kuku hivi karibuni tulipata afuheni ya chanjo mara baada ya kuingia sokoni kwa chanjo ya kuku ya tatu moja ambayo kwa maelezo inatoa kinga kwa magonjwa matatu Newcastle, mafua na ndui ambayo hapo awali ilihitajika uingie gharama kununua chanjo hizo...
  4. #COVID19 Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  5. #COVID19 Rais Samia: Kuchanja kunatupunguzia gharama kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi" Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
  6. #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden aahidi msaada zaidi wa chanjo kwa Afrika

    Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika. Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
  7. #COVID19 Nigeria: Watumishi wa Umma wasiopata Chanjo kutoruhusiwa Ofisini kuanzia Desemba

    Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya Raia wake wapatao Milioni 200, ikielezwa Chanjo zinazoendelea kupokelewa zinatarajiwa kuongeza kasi ya...
  8. F

    #COVID19 Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

    Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena? Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo...
  9. DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  10. #COVID19 Marekani kufungua Mpaka wake wa Ardhi kwa waliopata Chanjo

    Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus. Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
  11. #COVID19 Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

    Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021 Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
  12. #COVID19 DC Mpogolo: Watumishi wa Afya msiwe na kigugumizi katika kupata chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo. Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
  13. #COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  14. Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

    Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
  15. Humphrey Polepole apinga chanjo ya Malaria, amesema haiaminiki

    Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu. Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na...
  16. #COVID19 Waziri Gwajima: Watoto chini ya umri wa miaka 18 hawatachanjwa

    Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
  17. Matunda ya chanjo yaanza kuonekana, kazi nzuri ya Rais Samia

    Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
  18. #COVID19 Tanzania yapokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm

    Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
  19. #COVID19 UN: Dola Bilioni 8 zinahitajika kuhakikisha usawa katika Chanjo

    Umoja wa Mataifa umesema fedha hizo zinahitajika kuhakikisha Chanjo dhidi ya CoronaVirus zinasambazwa kwa usawa duniani kote ili kutoa fursa kwa Nchi zote kupambana na janga hilo ambalo limesababisha vifo zaidi ya Milioni 5 UN imesema kutokuwepo na usawa katika usambazaji ni hatari kwakuwa...
  20. #COVID19 Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

    Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7 Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021) Hatua hiyo inamaanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…