Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema waliopata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID19 tangu zoezi hilo kuanza kote Nchini hadi sasa ni zaidi ya 325,000
Amesema, "Chanjo ni hiari, lakini Wataalamu wanatuambia usipopata Chanjo ukapata Ugonjwa, utapata madhara makubwa ndani ya mwili wako"...