chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. #COVID19 Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
  2. L

    #COVID19 China yawapatia chanjo wataalamu wake wa kigeni zaidi ya 350,000

    Ili kulinda wafanyakazi wa kigeni wanaoishi na kusoma nchini China, pamoja na kuwajengea kinga imara dhidi ya virusi hatari vya Corona, China imewapatia chanjo zilizotengezwa ndani wageni wenye umri unaostahiki ambao wapo nchini. Zaidi ya wataalamu 350,000 hivi saa tayari wameshapatiwa chanjo...
  3. #COVID19 Waziri Mkuu awataka Watanzania kuachana na wapotoshaji na kusikiliza wataalam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa. Ameeleza, "Hii sio Chanjo ya kwanza, tumechanja Magonjwa mengine. Nawasihi achaneni na wapotoshaji. Watu...
  4. #COVID19 Mzee Hashimu Rungwe aiunga mkono chanjo ya Covid-19. Agusia suala la tozo na katiba mpya

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amezungumzia mvutano uliojitokeza kati ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akimtetea waziri huyo kuwa hahusiki na...
  5. #COVID19 Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

    Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta. J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na...
  6. #COVID19 Kama tumejiridhisha chanjo ya COVID-19 ni bora, tutangaze chanjo lazima kwa kila mtu ili kunusuru Taifa

    Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha. Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa. Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika...
  7. L

    #COVID19 “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  8. #COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

    PICHA: Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote wa jimbo hilo kupata chanjo dhidi ya Uviko 19 kwa kuwa ugonjwa huo unaumiza na kuondoa uhai. Ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  9. H

    #COVID19 Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
  10. #COVID19 Dkt.Mollel: Msiogope maneno ya Mtandaoni kuhusu Chanjo. Wataondoka na goli 0

    Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Godwin Mollel amewataka wananchi kutokuogopa maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu chanjo ya Uviko-19 kwani chanjo hiyo ni salama. Dk Mollel amesema hayo katika mkutano mkuu wa wadau wa huduma za elimu ya afya kwa umma...
  11. J

    #COVID19 Nani anapaswa kupata chanjo ya COVID-19?

    Chanjo za COVID-19 ziko salama kwa watu wengi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, na hata wale wenye changamoto za kiafya kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, pumu, magonjwa ya mapafu, ini figo pamoja na mengineyo. Inashauriwa kuwa endapo kuna ufinyu wa chanjo katika eneo lako, ni...
  12. J

    #COVID19 Chukua tahadhari zote za Covid-19 hata baada ya kupata chanjo

    Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19. Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa...
  13. S

    #COVID19 Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

    Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine. Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya...
  14. #COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu Gwajima na Waziri wa Afya (Serikali) ili tuweze kupata ‘consensus’ ya...
  15. N

    #COVID19 Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

    Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema, watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua, mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi...
  16. #COVID19 Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

    Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema. Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
  17. N

    #COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine. Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana...
  18. #COVID19 Rais Samia atupa kijembe kwa wapinga chanjo ya UVIKO-19. Asema hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa

    “Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu". “Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
  19. #COVID19 Askofu Gwajima awataka watu wasiingilie imani ya kanisa lake, hawachanjwi, watakaojaribu kuiingilia wataingia kwenye "crusher" watasagwa

    Leo katika kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima asema watu wasiingilie imani ya kanisa lake, amesema kuwa kiimani wakristo na hata waislamu wanaamini pombe ni dhambi na mahubiri hutolewa kupinga matumizi ya pombe, Je hao wanaohubiri wanatakiwa wakamatwe kwa sababu wanaikosesha serikali...
  20. Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…