Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000.
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...