El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.
Poleni sana ndugu zangu wachagga najua inauma na itawaumiza sana Chato kuwa mkoa kabla ya Moshi kuwa jiji lakini tambueni kwamba vigezo vya sehemu kuwa mkoa sio sawa na vile kuifanya sehemu kuwa jiji na ndio maana majiji yapo matano ila mikoa ipo 26.
Niende kwenye mada baada ya salamu za...
Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.
=====
Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi...
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________
Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,
#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya.
My take:
Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
RAS GEITA NA DC CHATO WATEMBELEA BANDA LA CHATO
Na. Richard Bagolele-Nyamhongolo Mwanza
Katibu Tawala Mkoa wa Geita Prof.Godius Walter Kahyarara na Mkuu wa Wilaya ya Chato Martha Mkupasi kwa nyakati tofauti leo wametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye maonesho ya Nanenane...
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui...
Wahenga walisema mwisho wa ubaya ni aibu.
Hatimaye baada ya kifo cha Magufuli sasa mambo yote hadharani, mbunge wa Biharamuro amemueleza wazi Rais Mama Samia kwamba wananchi wanalalamika kudhulumiwa jina la hifadhi yao ya Burigi na kuingizwa neno Chato na entry gate kwenda kuwekwa kilometers...
=======
Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita
Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote
Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
HOSPITALI ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, inakabiliwa na uhaba wa dawa hali inayotishia baadhi ya wagonjwa kupoteza maisha.
Wakizungumza na Nipashe baadhi ya wagonjwa na ndugu katika hospitali hiyo, wamesema wanalazimika kutumia fedha nyingi kupata matibabu kutokana na kutakiwa kununua dawa...
Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae.
Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu.
Mwisho kabisa mke wa mtu ni SUMU ingekuwa ndio zama za sasa ningekuwa nimefukiwa ardhini.
Nasisitiza tuwe makini...
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato...
Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo.
Wakazi hao wamelalamikia mzunguko mgumu wa biashara kwasasa Chato huku viwanja navyo vikiporomoka bei kulinganishwa wakati...
Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu.
Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia..
========
Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka.
Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania.
Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote.
Kwaresma njema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.