El Diablo is a name shared by several fictional characters published by DC Comics: Lazarus Lane, Rafael Sandoval, Chato Santana.
The Chato Santana version of El Diablo appeared in the 2016 Suicide Squad film set in the DC Extended Universe.
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii.
Je, familia ya Mama Janeth...
Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha.
Mbunge wa jimbo la Chato mh Kalemani amesema hiyo haijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa Wilaya hiyo na...
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha.
Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali .
Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo.
Niwatakie Xmas Njema
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar.
Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya.
Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
Salaam Wakuu
Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato.
Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli
Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera na Geita.
Kwa sasa ni vuta nikuvute, kila upande unavutia kwake, wezee wa mkoa wa Kagera wakisema...
Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo.
Leo aliyokuwa anayafanya...
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Rais Museveni...
Wenyewe wanasemaje?
Habari za leo Friends of Bukoba.
Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato.
Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na:
(1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum)
(2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini)
(3) Mh...
Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
Anaandika Askofu Bagoza PhD.
TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA
Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa Chato. Wengi wanakataa mapendekezo hayo. Niliwaunga mkono mapema.
Natamani Taifa lihitimishe uundwaji...
Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo.
Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani.
Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.