Wakuu kwema?
Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake, akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe
Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake na Mimi Ni...