Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Je, unatumia kifaa cha Android?

Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?

Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll, Files, Voice na nyinginezo nyingi pasipo kutumia WhatsApp

Hatua ya Kwanza
Download Google Messenger, kama tayari unayo, hakikisha kama ndiyo hiyo kwa kubofya link hii

Baada ya ku download fungua na ifanye Default App yako ya SMS

Hatua ya Pili ni Verification

Nenda Settings
1000098529.jpg

Messages Settings
1000098530.jpg

Nenda General
1000098531.jpg

Nenda RCS Chats
1000098532.jpg

Washa RCS Chats, Verify namba utakayotumia, kama unazo mbili Verify Zote kama mimi, Washa Send Read Recipient, Washa Typing indicator, Washa Auto download file while roaming ikiwa utakuwa kwenye mazingira ya roaming network basi uendelee kama kawaida
1000098533.jpg

1000098534.jpg

Baada ya hapo Tazama namba ya Rafiki yako ambaye ameshajiunga pia, Chat naye, tuma Picha, Video na mambo mengine yataenda kama WhatsApp,

Feature hii utatumia MB badala ya SMS ni sawa na WhatsApp

Kufahamu kama namba ya rafiki yako imejiunga utaona RCS uwanja wa typing
1000098535.jpg
 
Je, unatumia kifaa cha Android?

Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?

Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll, Files, Voice na nyinginezo nyingi pasipo kutumia WhatsApp

Hatua ya Kwanza
Download Google Messenger, kama tayari unayo, hakikisha kama ndiyo hiyo kwa kubofya link hii

Baada ya ku download fungua na ifanye Default App yako ya SMS

Hatua ya Pili ni Verification

Nenda Settings
View attachment 3314902

Messages Settings
View attachment 3314903

Nenda General
View attachment 3314904

Nenda RCS Chats
View attachment 3314906

Washa RCS Chats, Verify namba utakayotumia, kama unazo mbili Verify Zote kama mimi, Washa Send Read Recipient, Washa Typing indicator, Washa Auto download file while roaming ikiwa utakuwa kwenye mazingira ya roaming network basi uendelee kama kawaida
View attachment 3314908
View attachment 3314910

Baada ya hapo Tazama namba ya Rafiki yako ambaye ameshajiunga pia, Chat naye, tuma Picha, Video na mambo mengine yataenda kama WhatsApp,

Feature hii utatumia MB badala ya SMS ni sawa na WhatsApp

Kufahamu kama namba ya rafiki yako imejiunga utaona RCS uwanja wa typing
View attachment 3314911
Darasa kubwa hili RCS chati watu wengi hawajui kuitumia ila ni feature nzuri iliyopo kwenye app ya Google message sio poa Kuna wakati ukiwa una sms za kawaida unaweza tumia data kumtumia rafiki yako sms.

Asante kwa darasa Mwalimu 🔥 Hakika teknolojia ni Yetu sote 😋
 
Nashkuru sana kiongozi, ni nzuri sana, nimeacha kabisa WhatsApp kwasababu naona hii nyepesi zaidi
 
Wakiweza kuwa na feature zote za WhatsApp kama uwezo wa kupost Status za maneno, picha na video, n.k-- basi mtanitonya. Mbali na hapo ngojea niendelee na WhatsApp yangu pendwa.

Google messages itaendelea kuwa sehemu yangu ya kupokea code za Luku, uthibitisho wa miamala na mtandao wangu wa simu kunitumia message za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom