Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

Je, unatumia kifaa cha Android?

Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?

Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll, Files, Voice na nyinginezo nyingi pasipo kutumia WhatsApp

Hatua ya Kwanza
Download Google Messenger, kama tayari unayo, hakikisha kama ndiyo hiyo kwa kubofya link hii


Baada ya ku download fungua na ifanye Default App yako ya SMS

Hatua ya Pili ni Verification



Nenda Settings
View attachment 3314902



Messages Settings
View attachment 3314903



Nenda General
View attachment 3314904



Nenda RCS Chats
View attachment 3314906



Washa RCS Chats, Verify namba utakayotumia, kama unazo mbili Verify Zote kama mimi, Washa Send Read Recipient, Washa Typing indicator, Washa Auto download file while roaming ikiwa utakuwa kwenye mazingira ya roaming network basi uendelee kama kawaida
View attachment 3314908
View attachment 3314910



Baada ya hapo Tazama namba ya Rafiki yako ambaye ameshajiunga pia, Chat naye, tuma Picha, Video na mambo mengine yataenda kama WhatsApp,

Feature hii utatumia MB badala ya SMS ni sawa na WhatsApp

Kufahamu kama namba ya rafiki yako imejiunga utaona RCS uwanja wa typing
View attachment 3314911
Ahsante kwa elimu . Mara kadhaa nimejikuta simu inaniletea hii RCs na kuona inanizingua wakati wa kutuma messages za kawaida. Kumbe ni kukosa uelewa tu. Daah!
 
Ahsante kwa elimu . Mara kadhaa nimejikuta simu inaniletea hii RCs na kuona inanizingua wakati wa kutuma messages za kawaida. Kumbe ni kukosa uelewa tu. Daah!
Kubaki kwenye SMS peke yake cheza na hapa mkuu

1000098635.jpg
 
Kwa waandishi wa habari hasa za uchunguzi, au mtu yeyote anaejali privacy, hii app siyo yakutumia, haina encryption kama whatsapp, japo ni nzuri.
 
Back
Top Bottom