Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.
Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
chawa
kijana
kuelekea
kujifunza
mgombea
mgombea urais
mkuu
nchini
rais
senegal
tanzania
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
upinzani
urais
ushindi
vijana
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.
Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo...
Kwema Wakuu,
Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.
Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
Nadhani ingekuwa vema kama mngekuwa chawa wa nchi badala ya mtu. Kwasabb mtu anapita tu ktk hiyo nafasi, lkn nchi ikiharibika hatuna pa kukimbilia. Si mnaiona mifano ya Ukraine na Palestine (pale Gaza)?
Tusimame imara ktk kutete nchi yetu kwa kuwakosoa viongozi wenye mwenendo mbaya ktk madaraka...
Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila.
Angalia video hapa
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii
Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani.
Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm.
Kwa hizi tabia Romani...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema, ameonyesha kuchukizwa na maneno ya Wanachama wa CCM mitandaoni kuhusu Huruma ya Rais Samia kwa Chadema.
Kupitia mtandao wake wa X Lema ameandika, "Kuna haya maneno mnasema , Mh Rais SSH amewafutia kesi,mlikimbia...
Machawa wanaendelea kuneemeka kutoka kwa Matajiri nchini, angalia hapa jinsi Mwijaku na Babalevo wanavyopata pesa kiulaini.
Joti kosa lako ni kutokuwa Chawa, kama ungekuwa chawa basi nawewe ungepata mtonyo wa Silent Ocean.
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui...
Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni.
👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023.
1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
Mtengnezee Mwanao kesho yenye furaha, mafanikio, malengo n.k.
Asitarajie kuishi kwa kuamini Serikali yake itamfanyia Jambo zuri kwa ajiri yake, Mfanye awe wa kujiamini awe wa kujitegemea, ajue furaha yake mtengenezaji ni yeye, ajuae kuna disappointments nyingi sana huletwa na uliowategemea...
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.
Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
Mtu akipotosha kwa jina la Kiongozi mkuu wa taasisi asipuuzwe. Kama aliyempeleka kwenye mkutano mkuu ni mwenyekiti na kwamba hakuna kuhoji tusipuuze. Alituambia JPM ni ndugu yake ila alimtumbua.
Hii yakusema alipita kwa turugfu inatuma salam kwa viongozi wenzake kwamba wasipomtii wataondolewa...
Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama.
Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo.
Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
Katika miaka ya kuanzia 2015 Zana nzima ya uzalendo imekuwa ikipotoshwa Sana. Kipindi cha awamu ya tano neno uzalendo liligeuzwa kuwa ni Hali ya mtu kusifia serikali na w viogozi wake. Ikifika mahali mtu yoyote akikosowa serikali au kiongozi akawa anaitwa msaliti au kibaraka.
Na wale walio...
Kama kuna mtu tutamkumbuka kwa kuanzisha sera za kuabudia na kumsifia rais si mwingine bali Mwendazake.
Alitegeneza kile ambacho kiingereza huitwa cult sina kiswahili chake.
Alisifiwa hadi kuitwa Mungu tena na profesa aliyejisifu usomi sana japo alikuwa kihiyo wa kawaida. Samia naye hakubaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.