chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Freeman Mbowe asema Mbunge Sanga ni ‘Chawa’

    Akizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia. "Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri...
  3. Logikos

    Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

    Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
  4. MIXOLOGIST

    Chawa wa mama wajengewe uwezo

    Wasalaam wana JF, Baada ya mama kukiri kuwa ana pita pita humu ni hakika chawa wake wataongezeka na mapambio na kaswida nazo zitaongezeka. Si vibaya mtu kupewa sifa anayo stahili, ila watoa sifa ambao ni machawa na walamba viatu wanapaswa kuongezwa kidogo (building their capacity). Wapige...
  5. B

    Imekuwa siku Mbaya sana kwa chawa wa Rais Samia

    Hii ni Kwa timu nzima ya kina joni au timu sifia sifia. Haupo uhakika leo kama kina mwashambwa usingizi wataupata. Kwa hakika hali zao haziwezi kuwa hali. Haupo uhakika Mama atawachukulia je tena. Kwa maana kilichosemwa let o, ndiyo ulio ukweli wenyewe. Kwamba Hawa ni vijana walio wa hovyo...
  6. GENTAMYCINE

    Waziri Pindi Chana umeamua rasmi sasa kuwa 'Chawa Gegedu' wa Rais Samia?

    Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu...
  7. Bushmamy

    DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  8. M

    Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
  9. M

    99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

    Hakuna Chawa wa Kiongozi, Bosi, Tajiri au Mtu maarufu yoyote asiyezunguka kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga ili asitoswe na awe anapiga Pesa za Bwerere.
  10. Hismastersvoice

    TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  11. Natafuta Ajira

    CCM ifanye vetting ya chawa

    Siku za nyuma kidogo kulikua na tuhuma kwamba kuna watu wameandaliwa na chama tawala kuja kutetea kila kitu kinachofanywa na serikali huku mitandaoni kwa malipo ya shilingi 7000 kwa siku, sina uhakika kama izo tuhuma zilikua za kweli Lakini matokeo tunayaona mitandaoni, kuna wapambe ambao...
  12. M

    Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  13. B

    CHADEMA ilivyowachuuza Chawa wakauvaa Mkenge

    Tundu Lissu alirejea nyumbani 25 January na kuelekea moja kwa moja Bulyaga, Temeke mkutanoni. Hii ikiwa 21 January walikuwa Furahisha, Mwanza kwenye uzinduzi, 22 January Musoma na 23 January Tarime. Tokea 25 Jan hadi Feb 3 kukawa kumepiga kimyaaa! Chawa walikuwa wameshategemea bandika bandua...
  14. R

    Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

    Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya. Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba...
  15. I

    Chawa wa CCM wanalitambua hili?

    Hili suala la ushoga na LGBT kwa ujumla limekaa vibaya kwa siasa za kimataifa. Binafsi nadhani ni kitu ambacho itabidi kutoongelea kabisa au kuongelea kwa tahadhari kubwa. Ni kweli kama nchi ina watu wengi ambao hatupendi hili jambo, lakini pia tukumbuke hatuko peke yetu duniani. Ndo maana hata...
  16. J

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  17. Kididimo

    Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  18. B

    Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

    Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani. Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi. "Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba" Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu? Eti kumbe...
  19. Liverpool VPN

    Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  20. B

    Kumwelewa Mbowe au CHADEMA si kwa kila mtu

    Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza. Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi: Na bado chawa wa Mama wanakenua? Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake? Si kuwa kauli...
Back
Top Bottom