cheka

  1. M

    Cheka kidogo na simu ya Utopolo

    *Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager Injinia: habari mkuu Tp: salama Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki Tp: Wewe ni nan Injinia; mkurugenz wa gsm Tp: gsm ni timu gan Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro Tp: kwahyo unataka tucheze na...
  2. Aibu: Cosmas Cheka apigwa na Mmalawi lakini cha ajabu atangazwa kashinda

    Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya. Kwa haya yanayofanyika, nchi hii haitoendelea kwenye michezo.
  3. Cheka kwa kiingereza

    Huu ni uzi wa kutupia vichekesho na vimbweka vya kingereza tu japo mimi nimeanza kwa kiswahili πŸ˜…πŸ˜… anza na hii my son is stupid imaging he get zero even if i do his hormwork for himπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
  4. Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

    Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
  5. Cheka kwa tahadhari

    Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia. Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia? Simba akamjibu weee! nani hajipendi? Tokea nzaliwe sijawahi ona mnyama mwenye mkia kwa mbele. #MAN_VIBES
  6. Tanzia: Msanii Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' afariki dunia

    Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar. Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo. Bibi...
  7. Cheka, simulia, lakini usiombe yakukute

    Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915, mwandishi akiwa Franz Kafka. Asubuhi fulani, wakati Grego Samsa akiamka toka kwenye ndoto za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…