Niko Morogoro
Nilichokiona Leo n BALAA tupu
Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea
Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL
Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
COLE PALMER does not yet have the silverware to match modern-day Chelsea legends - but he has become Stamford Bridge royalty in record speed.
The 22-year-old capped his 60th Blues appearance with a goal, an assist and a man of the match performance in the 3-0 win over Aston Villa yesterday.
It...
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
FT
Chelsea 1 - 1 Crystal palace
Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein...
Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus.
Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili litakalomeleka Sancho Chelsea, hiyo ni kwa kuwa hayumo katika mipango ya Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca
Klabu...
Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya Magharibi mwa London
Klabu hiyo yenye Makazi yake katika Dimba la Stamford Bridge inatarajiwa...
Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.
Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30.
Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane.
Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa...
Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara.
Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa
Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho.
Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu...
ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge lililopo magharibi mwa London hatimae anaibuka shujaa asiefikiriwa wala kuimbwa, kisha anawarudisha...
Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita.
Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
Lavia anatarajiwa kumfuata Caicedo kwenda Chelsea, #LFC watageukia wapi kutoka hapa? Siyo nafasi nzuri ya kubargaini wakati wapinzani wanajua una hamu ya kununua namba 6 na umeonyesha tu uko tayari kutumia paundi Milioni 111 kwa moja.!!!
Ila wasema
Hilo haliwezi kuwa kabisa kwa LFC; waliweka...
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake.
Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017.
Uamuzi unaendelea...
Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo inaendelea na mazungmzo na Julian Nagelsmann pamoja na Luis Enrique ili kupata mwalimu wa kudumu wa klabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.