Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umethibitishwa rasmi kupitisha mchakato wa Klabu ya Chelsea kuuzwa kwa paundi bilioni 4.25, ambapo mnunuzi ni Bilionea Todd Boehly.
Klabu hiyo iliwekwa sokoni na aliyekuwa mmiliki wake, Roman Abramovich ambaye amewekewa vikwazo kutokana na ukaribu...
Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley, leo Mei 14, 2022.
Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa 0-0, ilibaki hivyo hata baada ya kuongezwa dakika 30. Mason Mount alikosa penati ya mwisho kwa...
Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022.
Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
Lewis ambaye ni mshindi mara saba wa Formula 1 world champion na Serena ni mshindi wa 23 tennis grand slam singles titles. Wameungana na wengine watatu pamoja na mwenyewe Sir Martin Broughton aliyekuwa mchezaji wa Liverpool kutaka kuinunua club ya Chelsea.
Kila mmoja amechangia £10M
Hii ni...
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022
Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter.
Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus.
Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona.
Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille.
Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili.
Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea.
Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana.
Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
MALI za mmiliki wa Klabu ya Chelsea na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich zimezuiliwa rasmi na Serikali ya Uingereza kuanzia, Machi 10, 2022 kama sehemu ya kuwatia kitanzi matajiri wote wa Kirusi ambao wanahusishwa na kuwa na ukaribu na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Abramovich anaingia kwenye...
Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika
Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji.
Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo.
Chelsea...
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea
=============================
Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club...
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii.
Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki kuwa mmiliki.
Inaelezwa kuwa wajumbe saba akiwemo Kocha wa Chelsea ya Wanawake, Emma Hayes...
Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake.
Source: BBC
----
Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
Klabu ya Chelsea inaweza kuingia katika wakati mgumu kifedha ikiwa mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ataondolewa klabuni hapo, kwani kutatakiwa kiasi kikubwa cha fedha alipwe kutokana na uwekezaji alioufanya tangu aanze kuimiliki klabu hiyo mwaka 2003.
Imeelezwa kuwa kama watataka...
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi.
Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.