Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:-
Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too?
The dust has settled, and the numbers are in. Since June 10, when the summer transfer window opened, Chelsea has spent more than €600...
Licha ya kuwa alijiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester City kwa Paundi Milioni 50, Sterling (28) na kusaini mkataba wa miaka mitano, ameshindwa kuwa na uhakika katika kikosi cha kwanza.
Amefunga magoli manne katika mechi 15, hali inayoonesha Chelsea inahitaji...
Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Wale mashabiki wa timu nyingine...
Wakuu chelsea ni chama langu ila kwa mwenenendo huu sijui kama nitafika, jana kanikata kila kitu kuanzia vibe hadi mtonyo nilimuamini sana nikamuwekea laki mbili duuh lakini kanibwaga.
Uchungu zaidi nilikoweka hata bonus hakuna , sijui ni wapi angalau ningepata kabonus kutuliza moyo...
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia.
Alikuwa akisumbuliwa na saratani ya kongosho kwa muda.
Alikuwa straika aliyecheza Timu ya Taifa ya Italia, Sampdoria, Chelsea...
Yaani ni Moto.
Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa.
Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango..
Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na wamiliki
Aliyefukuzwa ni Damian Willoughby ambaye alikuwa ameajiriwa na Chelsea ndani ya mwezi mmoja uliopita.
Imebainika Willoughby alikuwa akimpigia na kumtumia ujumbe wa simu (SMS) kumdhalilisha na kumnyanyasa kingono Wakala la Fedha za Soka, Catalina Kim.
Catalina alienda kulalamika kwa uongozi juu...
Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo.
Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwenye michuano ya UEFA kutoka kwa Dinamo Zagreb.
Tuchel alijiunga na timu hii...
Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu.
Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022.
Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa...
Chelsea wanataka kufanya usajili unaotajwa kuwa unaweza kuwa wa kushtua baada ya kudaiwa wanamtaka Harry Maguire wa Manchester United.
Chelsea wanataka wamsajili beki huyo katika dili la kubadilishana wachezaji ili wao wamruhusu Christian Pulisic kwenda #ManUnited.
Maguire amekuwa akilaumiwa...
Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo Agosti 14, 2022 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Kalidou Koulibaly na Reece James ndio waliofunga...
Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund.
Aubameyang alijiunga ba Barcelona, February 2022 na anatamani kuendelea kubaki hapo lakini anaweza...
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo.
Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
Beki Kalidou Koulibaly amesafiri Jijini London kwa ajili ya kukamilisha usajili wake kutua Chelsea ambapo anatarajiwa vipimo vya afya, lei Julai 14, 2022 kabla ya kuungana na wenzake.
Raia huyo wa Senegal anatarajiwa kusajiliwa kwa ada ya Paundi Milioni 34 baada ya kuitumikia Napoli kwa miaka...
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno.
Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo.
Inadaiwa kuwa alifanya tukio hilo miezi miwili iliyopita wakati timu yake ikiwa bado ipo kwenye mashindano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.