Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
United inahitaji sana kushinda katika mchezo kwani Jumapili ya...
Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni.
Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo itakutana na Arsenal ambayo inashika nafasi ya kumi na moja.
Na huko katika Dimba...
Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England.
Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika mashindano ya Ulaya ilikuwa na matokeo sawa kwa timu zote, kila timu imeshinda mara 2 na kutoka sare...
Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena dimbani kupepetana na Chelsea
The Blues itakayokuwa ugenini leo imepewa imani kubwa ya kushinda mchezo...
Mwezi mmoja baada ya kuanza kibarua chake kuinoa Chelsea , Thomas Tuchel ameiongoza timu hiyo kurudi kwenye nafasi nne za juu kwa ushindi mara tano mfululizo.
Katika mchezo huo ambao ni wa 6 tangu Tuchel kuwa Chelsea, Newcastle alipigwa bao 2-0 katika Dimba la Stamford bridge, magoli hayo...
Lampard alipotimuliwa na Chelsea mwezi uliopita klabu haikulipa mkataba wake uliobaki baada ya mabadiliko ya sera ambayo yalikuja baada ya kulazimika kutoa pesa nyingi wakati walimpomuondoa Jose Mourinho
Badala yake wameweka mshahara wake wa Pauni 75,000 kwa wiki kwenye muswada wa mshahara -...
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.
Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili...
Chelsea imeendelea kujihakikishia nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuipiga Burnley bao 3 kwa 0 kwenye mchezo ambao Burnley alikuwa nyumbani katika Dimba la Turf Moor
Magoli ya Chelsea yamefungwa na H. Ziyech dakika ya 26, Goli la pili likafungwa na K. Zouma kunako...
Leo kuanzia saa 1:30 usiku kutakuwa na mtanange mkali Kati ya Chelsea na Man United mchezo utachezwa Old Trafford.Kwa utabiri wangu Man United ataibuka kidedea shida kuu ya Chelsea hawana kocha mzuri ila Wana team Bora zaidi ya Man United ukiangalia mchezaji mmoja mmoja namaanisha quality...
Team ya Chelsea hivi Leo wameconfirm usajili wa Timo Werner from RB Leipizig wa price clouse ya Paundi million 45 wa mkataba wake. Imeripotiwa Timo Werner atajiunga na Chelsea mwezi ujao(Mwezi wa 7) na atakuwa sehemu ya Kikosi Cha Chelsea itakaporudiana na Bayern Munich ligi ya mabingwa...
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia.
Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa...
Chelsea imekubali kumsajili kiungo mchambuliaji hatari wa Ajax Hakim ziyech kwa Paundi Milioni 40.
Hakim Ziyech amekuwa mchezaji tegemezi aliyebaki kwenye kikosi cha Ajax baada ya kuondoka De Jong na wachezaji wengine wawili kwenye kikosi kilichofika nusu fainali ya UEFA Champions League...
Habari wana jamvi,
Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji.
Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
Leo kutawakutanisha team ya man city vs Chelsea na inategemewa itakuwa game nzuri. tuanze kuona strength na weakness za Kila timu.
Strength ya Chelsea
Bahati nzuri kwa Chelsea leo trio midfilder wao wakali yaani kante,jorginho na kovacic wote wapo fit na inategemewa wote wataanza kwa...
Mshambuliaji machachari wa real Madrid ambaye pia aliwakuichezea Chelsea ametoa utabiri wake kuhusu game kubwa itakayofanyika jumamosi itakao wakutanisha man city ambaye anashika nafasi ya 4 vs Chelsea anayeshika nafasi ya 3 ya league.
Hazard ameiambia sky sports yeye anaona Chelsea ataibuka na...
Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4.
First half analysis
First half Ajax walitumia vizuri makosa ya mabeki wa Chelsea ikasababisha Abraham...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.