cheo ni dhamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa cheo ni dhamana kaka, jifunze kuheshimu kazi na maamuzi ya wengine

    Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa mimi nimeandika hivi sio kwa lengo la kupinga makatazo yako kuhusu magari mengine (mbali na mabasi ya mwendo kasi) kutumia barabara za BRT. Sifurahii barabara hizo tulizojengwa kwa jasho la kodi zetu zije ziharibiwa kwa muda mfupi tu kabla ya lengo la ujenzi...
  2. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

    Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee . Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mpango: Kiongozi usifikiri nafasi yako haiwezi kuzibwa

    Akiongea mbele ya Rais Samia Ikulu leo July 26, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi walioteuliwa Makamu wa Rais Philip Mpango amesema; Pia soma: Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua! “Niwapongeze wote walioteuliwa mmepewa dhamana kubwa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwenye mamlaka na uongozi wa kisiasa vijana kuna cha kujifunza kwa watangulizi wetu kwamba cheo ni dhamana tu

    Yawezekana tuna elimu ya kutosha sana na tumewazidi hata watangulizi na mabosi zetu, yamkini tunafahamu mambo mengi, ni wabunifu na wenye ushawishi mkubwa maeneo fulani kulingana na nafasi, vyeo au dhamana za kimamlaka tulizopewa na mamlaka za uteuzi kwa niaba ya watanzania. Vijana tunajiamini...
Back
Top Bottom