Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,441
Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .

Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .

 
Uzuri wakati huwa hausubiri mtu, neng'eneka wee lakini wakati ukifika haina kungojana.

Leo Mahita mwili wote kwisha, hata kutembea mwenyewe hawezi.
 
Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.

Huyu hapa

Screenshot_2025-03-18-15-34-23-1.png
 
Kila mtu atazeeka na kufa Kwa wakati wake.

Uwe mwema sana

Uwe katili sana

Ila jambo la kujua ni kwamba tutazeeka na kufa, baada ya hapo hakuna atakayejishughulisha kukukumbuka zaidi ya Watoto wako ukibahatika.

Jambo la kulifanya Kwa hakika ni kujitahidi kuwa mwema na kutenda haki, Kwa maana Kila mmoja atahesabiwa makosa yake mwenyewe.
 
Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.

Huyu hapa

View attachment 3275251
Mwenye nguvu huku ana magongo?

Mnyang’anye hilo gongo asikie haja kama hakuziachia ulipomuacha!acha kuchezea Kiswahili.
 
Back
Top Bottom