Na bado anakula mema ya nchi!!Dunia haina usawaKwahiyo hapo ndio anaonekana bado mwenye nguvu???
Kwahiyo hapo ndio anaonekana bado mwenye nguvu???
Hakika MkuuTibaigana namkumbuka sana lipo lakujifunza,hakika
Siyo kweli!.Mbona Jaji Warioba au Butiku hawaogopi uzee? ukiishi vibaya na watu lazima yakukute haya? huyu na Jaji Warioba nani mzee kuliko mwenzake? huyu anapata anachostahili kwa matendo ake maovu aliyofanya akiwa madarakani.
Warioba anaonekana anafuata ushauri Daktari bingwa Janabi yaani yupo fit na kakomaa kama chuma.Mbona Jaji Warioba au Butiku hawaogopi uzee? ukiishi vibaya na watu lazima yakukute haya? huyu na Jaji Warioba nani mzee kuliko mwenzake? huyu anapata anachostahili kwa matendo ake maovu aliyofanya akiwa madarakani.
Hasa ukiwa na damu za watu mikononiNdiyo maana tunaogopa uzee
Huko police naona nafasi wanapeana tu mtoto wa rafiki, rafiki, mkwe, shemeji..n.k ndiyo maana hilo jeshi halina welediUle ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri
Ratio ya mwili wake imekuwa vyema, alafu hana mambo mengi kwahiyo muda mwingi atakuwa anapata wageni wanaotaka kujifunza zaidi toka kwake na kujikuta yupo positive muda mwingiWarioba anaobekana anafuata ushauri Daktari bingwa Janabi yaani yupo fit na kakomaa kama chuma.
Kwenye maisha tujitahidi kutenda mema, hatujui mbele yetu kuna nini!!Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.
Huyu hapa
View attachment 3275251
Naunga mkono hojaRatio ya mwili wake imekuwa vyema, alafu hana mambo mengi kwahiyo muda mwingi atakuwa anapata wageni wanaotaka kujifunza zaidi toka kwake na kujikuta yupo positive muda mwingi
Ushirikaa wa Baba yake Chico miaka ile Arusha Mbeya kili.....haikuwa bure pia wote ni waswahili wa humu humu...mluguru na mzaramo.....Akionekana bado mwenye nguvu, Mzee Mahita amejitokeza kumuaga OCD wa Chanika aliyefariki kwa ajali ya gari huko Gongo la Mboto D'Salaam.
Huyu hapa
View attachment 3275251
Aiseeeeeee!Kwenye maisha tujitahidi kutenda mema, hatujui mbele yetu kuna nini!!
Huyu mbabe enzi za Benjamin Mkapa leo kweli ndiye wa kutembea ananyata kama kipofu?? Nguvu na ubabe vina mwisho
View attachment 3275409
😆😆😆Mwenye nguvu huku ana magongo?
Mnyang’anye hilo gongo asikie haja kama hakuziachia ulipomuacha!acha kuchezea Kiswahili.
Basi sawaNdiyo hivyo roho mbaya ake ndiyo inamlipa
Nasikia alikuwa ni mshenzi snDah huyu dingi alikuwa RPC Rukwa, askari ulikuwa ukimzingua anakukata vitasa "vibao" afu anakwambia kafanye kazi. Ana bonge la kiganja, alikuwa anagonga vitasa huyo dingi hatari tupu. Uzee noma sana. 😁
Mahita alikuwa jambazi tu......sitaki hata kumsikia jambazi yule.Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee .
Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri