Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

Kila mtu atazeeka na kufa Kwa wakati wake.

Uwe mwema sana

Uwe katili sana

Ila jambo la kujua ni kwamba tutazeeka na kufa, baada ya hapo hakuna atakayejishughulisha kukukumbuka zaidi ya Watoto wako ukibahatika.

Jambo la kulifanya Kwa hakika ni kujitahidi kuwa mwema na kutenda haki, Kwa maana Kila mmoja atahesabiwa makosa yake mwenyewe.


ila kwa uzoefu wangu maaskari mwisho wao unakuaga sio mzuri.

Ni kweli wanakufa Ila wanakufa vifo Vya mateso Sana.
 
ila kwa uzoefu wangu maaskari mwisho wao unakuaga sio mzuri.

Ni kweli wanakufa Ila wanakufa vifo Vya mateso Sana.
Ni kwasababu wengi huwa hawatendi haki.

Mara nyingi hupata mali na Kipato kupitia dhuluma na kutotenda haki.

Ukiwa mtenda haki, Jeshi la Polisi halikufai.

Kuna Siku nilikutana na Alfred Tibaigana, kama unamkumbuka yule Kamanda wa Jeshi miaka ile.

Naye alikuwa kwenye hiyo hali
 
Ni kwasababu wengi huwa hawatendi haki.

Mara nyingi hupata mali na Kipato kupitia dhuluma na kutotenda haki.

Ukiwa mtenda haki, Jeshi la Polisi halikufai.

Kuna Siku nilikutana na Alfred Tibaijana, kama unamkumbuka yule Kamanda wa Jeshi miaka ile.

Naye alikuwa kwenye hiyo hali
Tibaigana namkumbuka sana lipo lakujifunza,hakika
 
Back
Top Bottom