Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.
Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo.
Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
Rais Samia Suluhu Hassana amempandisha Cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi.
Vile Vile Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kamishna Kaganda anachukua nafasi ya Kamishna wa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba, amemshukuru baba yake kwa kumpa nafasi hiyo.
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il.
Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
UTANGULIZI
Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’
Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna mwisho wake,kujikumbusha ni swala la muhimu sana hili nafasi zetu tunazopata duniani iwe ni kwenye...
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe).
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi)
4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi.
5. Anamzidi...
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi .
Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?
Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
Iringa. Licha ya kutengenezwa baada ya kuharibika, Jeshi la Polisi, Kitengo cha Usalama Barabarani, Mkoani Iringa limezuia basi la Kimotco lililokuwa limebeba wanafunzi 62 na walimu saba wa Shule ya Msingi Camaldoli wilayani Mufindi lisiendelee na safari.
Jeshi hilo lilimelazimika kulizuia...
Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze, Tafazwa Kutinyu nk
Wadhamini nao wakajitokeza wa kutosha mpaka jezi ikawa imechafuka kwa matangazo ya...
Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo.
Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani...
Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu ana mjali alipo,.
Hii ni kutokana na Ndugai kushiba cheo na kujiaminisha kama vile ana nguvu...
Nina jamaa yangu amesoma BA with Education (Economics and Commerce) Ameajiriwa kama Mwl Secondary na Mwaka jana alipanda daraja TGS E.
kuna nafasi imetokea halmashauri anayofanyia Kazi wamemwabia kama anaweza wamfanyie recategorization awe mchumi ila daraja litashuka kuwa TGS D AU wamwazime...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameonyesha kukasirishwa na huduma mbovu inayotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha baada ya wananchi kulalamikia huduma mbovu huku akikiri kujionea kwa macho yake baada ya kushuhudia mgonjwa akiachwa zaidi ya saa moja bila kuhudumiwa.
"Ninaagiza...
Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.