Wakuu,
Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!
Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya.
Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
Haji Manara awaponda Viongozi wa Simba kumpa Urais wa Heshima Modewj, katika mazungumzo yake anadai kuwa, "Nchi Hii ina watu wa ajabu Kabisa, Wasomi wetu ni hovyo Sana, Hastahili hata Kuwa kiongozi wa Mtaa".
Toka zamani, Haji Manara anapenda sana mpira wa miguu ama ukipenda football. Kumbuka...
Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe
======
Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer.
The announcement was made by Safaricom...
Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu.
Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
Katika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais.
Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji anatoa cheo kwa hakimu anayeendesha kesi ambayo yeye ni mlalamikaji.
Katika mfumo wa utoaji haki, hii...
Alikuwa akihojiwa na Maulid Kitenge kuhusu kusifia kila kitu yeye akasema, hajui kutaga yai lakini yai bovu analijua, ‘mimi kama kiongozi wa dini wajibu wangu ni kuangalia wapi panahitaji kunyooshwa sio wapi panahitaji kusifia, wakati wa Mwalimu ukimsifia anaku- demote siku hizi ukisifia sifia...
Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri.
Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Rais wa Zanzibar
5. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
6. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar...
Cheo ni dhamani, sitakitumia cheo changu au cha mtu mwingine kwa faida ya....
Kuwa kiongozi ni dhamani kubwa aliyopewa kiongozi toka kwa raia waliomdhamini kuwaongoza. Ni wajibu wa kiongozi kulinda heshima hiyo kwa manufaa ya waliomchagua na kulinda heshima yake na future yake.
Hali kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.