chesco msaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Katibu Mkuu TEC, Padri Msaga: Tusipotenda Haki, Amani haiwezi kutawala kamwe

    Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Chesco Msaga, C.PP.S, leo Novemba 7, 2025 katika Ibada ya kuwaombea marehemu na majeruhi wote waliopata madhara katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, amesema, “Haki ndiyo huzaa amani. Tusipotenda haki, amani haiwezi kutawala kamwe.”
Back
Top Bottom