Habari wakuu,natumia Tv aina ya Mr Uk juzi jioni nimerudi nyumbani nawasha Tv nakuta nusu ya juu kwenye screen ya Tv mwanga umefifia kidogo(japo mpaka mtu uwe makinj sana ndiyo utaweza kugundua)..je hili tatizo Itakuwa ni nini?na je ni jinsi gani ya kulitatua?
Ukiangia hiyo picha niliyoweka hapa...