Hello family , i am kindly asking for guidance on how to implement my final year project at the college. My project proposal was about how you can detect leukemia at the early stage using machine learning method,where by i wanted to use normal human blood digital microscopic images to train my...
Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu
Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana.
Au niende wapi nikatatue hili...
Kama kichwa kinavyojieleza wadau. Nimechomeka waya wa Sub-Woofer ambayo ilikuwa imewaka (2 in 1) kwenye pc aina ya hp, ghafla ikazima... na haijawaka tena hadi hivi sasa.
Nimejaribu kutoa betri na kuiwasha ikiwa imechomekwa moja kwa moja kwenye chaja, taa ya chaja inawaka, lakini pc haiwaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.