There is a significant Asian presence in Africa of at least 3 million people. Most have arrived in the 1930s, following European settlement; however, there is continued immigration to the continent to pursue economic opportunities.
Kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong ilikumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, ambao hadi kufikia tarehe 22 mwezi Agosti, watu zaidi ya 5,500 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo, na zaidi ya 2,600 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa. Kwa kuwa...
Wakati alipopanda jukwaani kuonyesha ustadi wake wa matibabu ya jadi ya Kichina (TCM), Rebaone Monama, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Johannesburg nchini Afrika Kusini, aliibua shangwe kubwa kwa hadhira iliyokuwa imetulia kwa baridi ya jioni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Monama alikuwa...
Timu za madaktari wa China zimekuwa msaada mkubwa kwa afya ya jamii katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Katika nchi nyingi za Afrika, licha ya changamoto za lugha, madaktari hao wamekuwa msaada mkubwa kwa kuungana na madaktari wazawa katika kutoa elimu ya afya, utambuzi wa...
Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.