china

  1. J

    Meli mbili za ufilipino na china zagongana Manila watajwa kuhusika

    Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya Serikali ya Beijing, China inaishutumu Manila kwa kusababisha ajali hiyo kwa makusudi. Msemaji wa...
  2. I

    Takriban benki zote za China zinakataa kushughulikia malipo kutoka Russia, ripoti inasema

    Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema. Soma Pia: Marekani...
  3. I

    Sarafu ya China, Yuan haitachukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.

    Hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa Saudi Arabia iko kwenye mazungumzo ya bei ya mauzo ya mafuta yake kwa sarafu ya China, Yuan. Ingawa baadhi ya nchi zinaunga mkono sarafu ya China Yuan kuwa sarafu ya akiba ya dunia, hali halisi ya kiuchumi inadhoofisha juhudi hii kabla hata haijaanza. The...
  4. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

    Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025. Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
  5. Webabu

    China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

    Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati. Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa...
  6. X

    Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  7. Uhakika Bro

    Nguvu ya umoja ulivyowainua wafanyabiashara wa China, nanenane kila siku

    Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma, mwalimu wa Kiingereza mwenye maono makubwa. Aliamini kuwa mtandao ungeweza kuwa mlinganishaji...
  8. N

    Kuchukua mzigo china kwa mtaji wa Tsh. Milioni 25

    Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
  9. L

    Vita ya kibiashara ya Marekani yawezesha uwazi na biashara kati ya China na kanda ya magharibi

    Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
  10. L

    Mkutano wa FOCAC kuanzisha ngazi mpya ya uhusiano kati ya China na Afrika

    Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono Kuendeleza mambo ya kisasa na Kujenga Jumuiya ya Juu ya China na Afrika yenye Mustakabali wa Pamoja.” Kwa...
  11. L

    Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC

    Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika. Kwenye...
  12. TODAYS

    Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  13. Bani Israel

    Timu Wachezaji Wa marekani wote wenye asili ya china waifunga china kwenye olimpic

    Hawa ni wachezaji wa Timu ya Taifa ya Marekani (USA) Table Tennis Ambayo imeifunga Timu ya Taifa ya China kwenye Mashindano ya Olympic. 😜😜😄😄
  14. green rajab

    Iran imeagiza mzigo wa kutosha pamoja na specialist toka China na Russia

    🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo. Update: Reports that Iran has requested an emergency...
  15. Yoyo Zhou

    CMG Laandaa Mazungumzo ya 'Fursa Duniani katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya'

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho la hivi karibuni la moja ya matukio muhimu ya kisiasa nchini China, ya kikao cha tatu cha kamati kuu...
  16. X

    ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  17. Yoda

    China yashinda medali za kwanza Olympics.

    China imejinyakulia medali mbili za dhahabu za kwanza kabisa katika mchuano ya Olympics inayoendelea huko Ufaransa.
  18. W

    Car4Sale Howo tipper 371 used inauzwa

    Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college, Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka mmoja Karibu sana. Price: million 127.5 ☎️0715 128 827
  19. kambagasa

    Mliofika China hivi bado mnawaamini hawa wanasiasa walioko madarakani kwamba kuna siku watafikia maendeleo ya Wachina hata kwa asilimia 3%?

    Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo. Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na usalama katika nchi yao hivi kuna Mtanzania yoyote anaota kuna siku tutawafikia hata asilimia 3 tu hawa...
  20. Mjanja M1

    Taja msanii wa Reggae anaetokea China

    Tajaaaa!
Back
Top Bottom