Zikiwa pande mbili kubwa zenye nguvu ambazo ziko tayari kuongoza muundo na mageuzi ya utawala wa hali ya hewa duniani, China na Umoja wa Ulaya zimedumisha mazungumzo juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na bioanuwai pamoja na masuala mengine ya kiuchumi na kisiasa. Ili kuimairisha ushirikiano huu...
Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
UVCCM KUENDELEA KUENZI MAHUSIANO YA KIDUGU YA CPC YA CHINA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, tarehe 07 Mei 2024 Ofisi za Ubalozi wa China...
Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01.
Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana...
Dunia ni nzuri kwa sababu ya sayansi, na sayansi ni nzuri kwa sababu ya wanawake. Hivi karibuni ulifanyika Mkutano wa Baraza la Kimataifa la Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia la Wanawake wa mwaka 2024. Mkutano huu uliofanyika Aprili 27 mjini Beijing, ulikuwa na kauli mbiu ya "Kuchochea Uhai na...
Hivi karibuni China ilirusha chombo chake cha anga ya juu cha Shenzhou-18, ambacho kilibeba wanaanga watatu wakiwemo Ye Guangfu, Li Cong na Li Guangsu. Kabla ya kurusha chombo hicho Alhamis ya tarehe 25 Aprili, China ilisema itahimiza ushiriki wa wanaanga wa kigeni katika safari zake za kituo...
Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje?
Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute...
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi.
Uchunguzi huo ulioanza mwanzoni mwa Novemba 2023, ulitokana na agizo la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
“Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo ni ukiukaji wa wazi wa kanuni ya China moja na uingiliaji wa ndani wa mambo ya China, na kwamba...
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai.
Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai.
Facebook...
Wakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta.
Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho.
中文版
2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Katika miaka ya hivi karibuni, mawasiliano ya utamaduni kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.