Rais Xi Jinping wa China anatarajiwa kufanya ziara nchini Marekani kati ya Novemba 14-17 ambalo atakuwa na mkutano na mwenzake wa Marekani na pia kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia-Pasific (APEC). Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rais Xi kufanya ziara nchini...
Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa Marekani. Huu ni mkutano mwingine wa ana kwa ana kati ya wakuu wa nchi hizo mbili mwaka mmoja baada...
China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo.
Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE TESTER(MEGGER).
China imekuwa na utaratibu wa kupeleka wataalamu wa afya katika nchi mbalimbali duniani, ambao huungana na wenzao katika nchi husika kutoa huduma za matibabu kwa watu wenye matatizo ya kiafya. Madaktari hao kutoka nchini China, licha ya kuwa na changamoto ya lugha na tamaduni, wameendelea...
Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani, hasa kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za madini adimu zinazotumika kwenye sekta za utengenezaji wa magari yanayotumia umeme na vifaa mbalimbali vya kuvuna nishati ya jua. Afrika, bara lenye utajiri mkubwa wa madini hayo limerudi tena...
Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti.
Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr...
“Ripoti ya Mwaka 2023 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa hivi karibuni. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China barani Afrika umeongezeka kwa mfululizo, na mafanikio ya ushirikiano wa uwekezaji kati ya pande hizo mbili yamezidi kudhihirika.
Ripoti hiyo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo.
Profesa Kahyrara ameyasema...
Baadhi ya nchi "zimejizatiti" kwa silaha mbaya na hatari zinazolenga jeni (Vinasaba) za binadamu, shirika la juu la kijasusi la China lilidai Jumatatu. Ni mara ya kwanza shirika la serikali ya China kutaja tishio kama hilo hadharani.
Katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya WeChat, Wizara...
Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu...
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo la Mita za Mraba 33,000.
Katika miongo miwili iliyopita, Zimbabwe imekuwa ikiegemea katika Misaada...
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atafanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 26 hadi 28 mwezi huu. Kabla ya hapo, tangu mwezi Juni mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen, Mjumbe...
Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu
Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping
-----
China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.