chipukizi ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda Tanzania

    Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Ndg. Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda nchi ya Tanzania kwakuwa kupitia upendo ndipo uzalendo wa kuijenga nchi kimaendeleo kwa mtu mmoja kunatokea pia amewaasa wazazi na walezi kuwaonjesha watoto tunu hiyo ya uzalendo kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Iringa Vijijini Afanya Ziara ya Kuimarisha Umoja

    Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha mahusiano na mshikamano miongoni mwa chipukizi wa chama, pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto kwenye Siasa lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Mahakama: Suala la CCM kutumia watoto lipo chini ya Mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam (sasa Masjala Ndogo), imejizuia kuamua kama ni halali au si halali kwa Chama cha Mapin duzi (CCM) kuwahusisha watoto wanaojulikana kama Chipukizi katika shughuli za...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

    Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa Isack Mwigulu Nchemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…